Simu hizo zinajulikana kwa jina la AG#Hashtag na zitaingia mtaani May 10. AG Mobile ni kampuni ya Afrika Kusini.
Zikitumika kwa mtandao wa MTN simu hizo zinauzwa kwa R229. AG Mobile imepanga kuuza simu 100,000.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa simu hizo, Cassper alisema:
To put it simply, the #Hashtag is dope. It was designed for someone who loves music, being in the mix and socialising with their crew. Basically it has everything I would want in a phone, so I’m giving a shout-out to all my fans to check out the #Hashtag’s quality features and design, and then to change over to AG. They have my word that they’ll be getting great value.
Simu hizo zina mtandao wa 4G LTE, camera yenye 13 megapixel kwa camera ya nyuma na mbele yenye 5MP. Ina 16GB ROM na 2GB RAM.
=bongo5
Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook
LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK
Post a Comment