Kwa mujibu wa Katibu wa Itakadi na Uenezi wa Chama tawala cha
Tanzania chama cha Mapinduzi Nape Nnauye Mbunge huyo ambaye alikuwa
maarufu kwa utunzi na uimbaji wa nyimbo za kampeni za chama hicho kifo
cha chake kimetokea siku ya jumamosi majira ya jioni.
HISTORIA FUPI YA MAISHA YAKE
Marehemu Kaptain Komba alizaliwa Marchi 18 mwaka 1945 alipata elimu ya msingi huko nchini Tanzania katika shule ya Lituhi baadae elimu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Songea iliyopo kusini mwa Tanzania kuanzia 1971 hadi mwaka 1974.
Mwaka 1975 hadi mwaka 1976 Marehemu John Komba alijiunga na chuo cha ualimu kilichopo Kleruu Iringa, Kusini Magharibi mwa Tanzania ambapo alihitimu cheti cha ualimu.
Marehemu John Komba ni mwanajeshi ambaye alipata mafunzo ya uafisa wa Jeshi katika chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli kaskazini mwa Tanzania mwaka 1978 hadi mwaka 1978.
Keptain John Komba pia alipata mafunzo mengine ya siasa kutoka chuo Kikuu cha Washngton International ambapo alitunukiwa shahada ya siasa mwaka 2006 hadi mwaka 2008
INAENDELEA HAPA

Post a Comment