Mfahamu James Promax Mfanyabiashara na Mpiga picha

James Joel Mchome (Jina toka Upande wa Mama yake alipolelewa), ( Jina halisi kutoka kwa baba yake ni "James Marco Musa Mabula" )  (James Promax) (amezaliwa 22 June 1993). "Marco Mussa Mabula" mwandishi na mchoraji au Hayati King "Marco Musa" ndio jina la baba yake ambaye pia alikua mchoraji katuni wa Zamani katika magazeti ya Sani na Mwandishi wa Vitabu vya "Adili kisiwa cha lulu", ( Cheza kwa akili : kitabu cha kwanza kwa sasa kipo chini ya Mkuki na Nyota).


James Promax ni mfanyabiashara, blogger, Presenter, mpiga picha, mwana tehama katika kutengeneza tovuti na muandaaji video za 
muziki nchini Tanzania mkoa wa Mwanza. kupitia kazi zake anazozifanya na ambazo ameshafanya anaendelea kuongeza ubora wa kazi zake kila siku, Mfano "Maisha yake na Picha zinapatika" Poms Studios, "za Graphics ni" Pomsgraphics, Kutengeneza Tovuti zipo 'Micropoms". Hizo ni baaadhi ya kazi ambazo alinazifanya nchini kwake Tanzania na nje yake na kupelekea kufanya kazi mbalimbali Tanzania.

Vile vile James ameshafanya kazi na kituo cha redio cha Breez FM jijini Tanga. na ameshawahi kumiliki Blog ya Bongohotz kwa miaka ya 2013 - 2017



Moja kati ya Interview zake na Kundi la Navy kenzo Aika na Nahreel



James Promax Kwenye Picha 2022


Baadhi ya Kazi za James Promax za Website design

Website ya New Javas Oil and Gas  Kagera Tanzania

Website ya Mvungi Attorneys Mwanza Mwanza


Website ya Mkwabi Enterprises Tanga

Post a Comment

Post a Comment