stories

CHOMBEZO: SLAVE SEX...MTUMWA WA NGONO..(SEHEMU YA 7)


SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)....(6) AGE….(18+)
AGE…(18+)

ILIPOISHIA.
“Sawa bosi,lakini naenda kula mara moja”
Mzee Magugu aligeuka ghafla akiwa ameukunja uso wake huku macho yake yakionesha hasira na chuki.
“Tangu lini umeanza utovu wa nidhamu?mimi nakuita ofisini kwangu unasema unaenda kula?”
Mzee Magugu alifoka na sauti yake nzito kuenea ofisi nzima!
SONGA NAYO.
“Samahani Bosi”
Nickson alisema huku akiwa mwenye hofu akitetemeka kutokana na jinsi bosi wake alivyokuwa akimuangalia kwa ukali,hata baadhi ya wafanyakazi wote waliwatupia macho na kushindwa kuelewa ni kosa gani alilolifanya Nickson,Ofisi nzima ilibaki kimnya.
Mzee Magugu alisonya na kupandisha ngazi akielekea ofisini kwake huku nyuma akimuacha Nickson akiwa njia panda, alishindwa kuelewa ni kitu gani akifanye aende kula chakula au afuate wito.
Chakula hakikuwa cha umuhimu kwa wakati huo, kutokana na uwoga alihisi njaa imemwisha, alichofanya ni kupandisha ngazi na kugonga ofisini kwa bosi wake kisha kuingia.
“Nickson toka ofisini kwangu”
“Bosi lakini si umeniita”
“wewe si ulisema unaenda kula chakula?nenda ukale chakula tuone hiko chakula kama kitakulipa mshahara”
“Bosi nisamehe”
“Nickson,GET OUT OF MY OFFICE”
Mzee Magugu alipandisha sauti kwa ukali huku akisimama kwa hasira,hakutaka kumuona Nickson mbele yake alichukizwa mno,kitendo cha Nickson kumkataza mke wake kufanya kazi kilimaanisha hakumueshimu tena,alimchukia Nickson kupita kiasi,lakini mbali na hapo alinuwia kuwa ni lazima ampate Gloria kwa gharama yoyote ile.
“Tuone mimi nawewe nani zaidi,nitakuonesha kuwa mimi huwa sishindwi kitu”
Maneno hayo alitamka Mzee Magugu baada ya Nickson kuufikia mlango.Nickson akageuka kwa upole huku machozi yakimlenga,maneno hayo yalipita ndani ya kompyuta ya akili yake na aliweza kuchanganua yana maana gani.
“Toka ofisini kwangu,digidigi wewe”
Nickson akafungua mlango na kutoka nje akiwa mwenye mawazo mengi mno.Hakuelewa ni kitu gani akifanye, kila alipomfikiria mke wake roho ilimuuma sana,alitembea taratibu mpaka ofisini kwake na kukaa huku akiwa ameshika tama na hata ulipogongwa mlango hakuweza kusikia.Mpaka ukafunguliwa bado alikuwa katika mawazo.
“Nickson, oyaa Niki”
“Naam Naam Tito”
“Vipi mwanangu,unaumwa au?”
“Hamna,yaaah ndio.. ndio kichwa kinanisumbua”
“Ushapata dawa sasa?”
“Usijali nitakunywa”
“Sasa kuna hii kazi hapa ya kesi,unakumbuka ile kesi ya Komakechi?”
“Embu naomba nikumbushe”
“Yule Mzee aliyemchoma kisu mke wake baada ya kumfumania na awala”
“Ndio”
“Unaikumbuka lakini au unaitikia tu?”
“Nakusikia,naikumbuka sana si kule Iringa?”
“Huko huko”
“Imekuaje?”
“Ile kesi bado ina utata”
“Utata gani?wakati mimi nishaimaliza”
“Kuna shemeji yake huyo marehemu amekata rufaa,anataka kuifungua upya”
“Lini?”
“Faili limeletwa juzi hapa na Sirgent Mugisha”
“Poa nitaifanyia kazi siku nyingine leo sipo sawa”
“Alafu,imekuaje wewe na bosi,mbona leo amekuwakia vile?”
“We acha tu mwanangu ni stori ndefu kidogo”
“Nimegee kidogo Nickson,kuna kitu ulimkwaza nini?”
“Si bora ningemkwaza,nitakuchana tu siku nyingine wala usijali wewe mwanangu”
“Poa kaka,tutachekiana basi”
Nickson na Tito mbali na kufanya kazi kwa pamoja walikuwa wote wana rika sawa na ndiyo maana hata wakikutana hutumia kiswahili cha mtaani kuzungumza,mbali na kufanya kazi kwa pamoja walikuwa ni marafiki tangia wanasoma na kubahatika kukutana tena,ilikuwa ni furaha kubwa sana,na siku zote Tito akipata matatizo ni lazima amshirikishe Nickson na pia Kwa Nickson ndiyo ilikuwa ivyo ivyo!
Siku nzima Nickson alishindwa kufanya kazi na hata alivyopigiwa simu kutatua baadhi ya kesi alimuomba Tito amsaidie.Saa kumi na moja jioni alifunga ofisi na kuingia ndani ya gari na safari ya kwenda kwake kuanza mara moja,ilikuwa ni tofauti na siku zote kabla hajaoa,tangu afunge ndoa Nickson hakuwahi kuchelewa nyumbani,ratiba yake ilieleweka, baada ya kufunga ofisi basi huwatafuta marafiki zake na kwenda kupata moja baridi moja moto!
lakini ratiba yake ilibadilika alivyopata jiko!
Kutokana na msongamano wa magari akawa amefika nyumbani kwake saa mbili kasoro tano na kuweka gari vizuri kisha kushuka,Mke wake Gloria alivyomuona aliachia tabasamu na kumpokea ‘briefcase’ kisha kumpiga busu la mdomo.
“Pole na uchovu honey”
“Ahsante”
“Mbona hauna furaha?”
“Hapana nipo sawa,nimechoka tu,kazi zilikuwa nyingi leo”
“Pole inabidi uoge kwanza kisha ule”
“Sawa”
Nickson akapitiliza moja kwa moja chumbani na kujitupa kitandani akiwa mwenye mawazo,hakuna alichotafakari zaidi ya maisha magumnu atakayo enda kuishi mbeleni,alishaelewa ni lazima afukuzwe kazi na alibaini kuwa mke wake ndiye angekuwa chanzo kikubwa kwa yeye kupigwa chini kazini.
“Nickson nenda kaoge basi”Mke wake alisema baada ya kufika chumbani.
“Nitaenda”
“Sasa hivi bwanaaa”
“Haya”
Nickson alikubali na kusimama kinyonge kisha kuanza kuvua nguo zake na kuzungusha taulo kiunoni mwake taratibu akanyoosha bafuni.
Mke wake Gloria alishaelewa nini tatizo na mme wake,kuishi naye kwa muda mfupi kulimfanya aweze kuelewa tabia zake, alijua wazi kuwa kuna jambo kubwa linamsumbua, hakutaka kumuuliza kwanza mpaka wawe mezani wanakula chakula.
Na ndivyo ilivyokuwa, Nickson alivyoweka makalio yake juu ya kiti kwenye meza ya chakula, Gloria alimtizama kwa macho ya kutaka kuuliza kitu.
“Nickson”
“Naaam”
“Mimi ni nani yako?”
“Mke wangu”
“Naomba usinifiche kitu chochote,naomba uniambie una tatizo gani baba?”
“Sina tatizo lolote”
“Ni kuhusu kukataa kazi ya bosi wako?”
“Ndio”
“Sasa kwanini huniambii”
“Hata nikikwambia hutokubali,hilo nalielewa”
“Nakupenda Nickson nina haidi kukupa furaha katika maisha yako yote”
“Bosi ananichukia sana siku hizi”
“Hata kama tambua kuwa una mke anayekupenda na nitakupa furaha,mwache akuchukie huko na akunyanyase lakini ukitoka huko tambua kuwa nipo wa kukutoa furaha,Nickson Mme wangu yote yana mwisho wake hayo.Mungu yupo Mpenzi,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha”
Gloria alimpa Moyo Mume wake na maneno hayo yalitoka ndani ya mtima wake.
Nickson akawa amepata tumaini lingine kutoka kwa mke wake na kuanzia dakika hiyo akaanza kufurahi, Gloria akafurahi pia wakapigana mabusu na kubebana mpaka chumbani.
Mikono ya Nickson ikawa mashavuni kwa Gloria wakawa wanapigana denda kwa fujo na kutupana kitandani,Mkono wa Nickson ukakimbilia kwenye ikulu ya Gloria huku akiwa ana nyonya maziwa yake baada ya kuitoa kanga yake,hapo ndipo Gloria alishindwa kujizuia, alitoa miguno ya puani akihisi raha za ajabu, mambo yalikuwa mwanana kwa wanandoa hawa.
Habari za bosi ofisini, Nickson akaziweka kando, akili yake ilikuwa katika sayari nyingine ya huba,aliweza kumuandaa mke wake vilivyo na wote wakafurahia tendo la ndoa lililoisha baada ya masaa mawili mbele.
“Nickson nakupenda sana”
“Hata mimi Gloria”
“Nakupenda kutoka ndani ya moyo wangu”
“Mimi hunishindi”
Gloria aliongea huku kichwa chake kikiwa kifuani mwa Mume wake anakikwaruza na kucha zake zilizokuwa ndefu kwa mbali,
akashusha mkono wake chini na kuanza kushika tango la mume wake hapo ndipo alipoanza kulichua,midadi ikampanda Nickson upya na shughuli ikaanza tena.Dakika ishirini baadaye wakawa wamejifunika shuka moja wamelala!
****
Hakukua na maelewano mazuri tena baina ya Nickson na Bosi wake,Mzee Magugu alionesha chuki za waziwazi na hata baadhi ya wafanyakazi walilielewa hilo kuwa Bosi Magugu na Nickson hawapikiki chungu kimoja!
kila siku Nickson alipigiwa kelele kama mtoto mdogo hata kwa kosa dogo.
“Pumbavu nini wewe,nimekwambia nini Nickson unakuwa kama mtoto, kila siku nikupigie kelele wewe tu,hili swala lazima nilipeleke bodi ili ufukuzwe kazi haufai siwezi kukaa na mambulula mimi,Paulina”
Mzee Magugu alifoka kwa sauti mbele ya wafanyakazi wote na sauti yake kuenea ofisi nzima!,akaita jina la Sekretari.
“Abee bosi”
“Nickson asilipwe mshahara huu mwezi”
“Sawa Bosi”
“Umenisikia Paulina?”
“Ndio nimekuelewa Bosi”
Nickson alikuwa amesimama katikakati, Mzee Magugu alikuwa mbele yake anamfokea kama mbwa mwizi.
Nickson alijihisi hana thamani alikuwa mdogo na hakutaka kujibu chochote,alibaki tu akimtizama Mzee Magugu akipandisha ngazi kuelekea ofisini kwake, baada ya kumaliza kumfokea.
Nayeye bila kuongea kitu chochote akatembea hatua kadhaa mpaka ofisini kwake.Manyanyaso yalizidi kipimo, elimu aliyokuwa nayo kichwani aliamini kuwa hata bosi wake hakuwa nayo,iweje amfokee?
“Niki”
Aliita Tito baada ya kufungua mlango wa ofisi ya Nickson.
“Hapana Tito sio sasa hivi,tutazungumza baadaye”
“Niki mshkaji”
“Tito baadaye tafadhali”
Tito akageuka na kutoka nje.
Jioni alivyofika nyumbani kwake, Gloria alijitahidi kumpa furaha kama alivyomuhaidi hapo awali,ni kweli baada ya dakika kumi hakuwa ana kumbuka tena mambo ya ofisi,ivyo ndivyo ilivyokuwa mpaka miezi minne ikapita, Nickson akawa amezoea mateso ya bosi wake na akifika nyumbani yote yanayayuka.
Siku moja alivyorudi nyumbani kwake alipewa habari zilizomfanya achanue tabasamu.
“Una mimba kweli Gloria,au unanitania Mpenzi? Ili tu nifurahi”
Nickson aliuliza ili kupata uhakika zaidi!
“Ndio niamini nina mimba ya miezi mitatu Mme wangu,leo ndiyo nimeenda kupima hapo hospitali ya jirani”
“Siamini,embu twende tena sasa hivi”
Nickson hakutania, aliweka shati mwilini wakavaa nguo na kuingia kwenye gari usiku huo huo wakanyoosha mpaka hospitalini,ni kweli Nickson hakuamini kusikia kuwa Mke wake ameshika mimba,kwake jambo la kupata mtoto lilikuwa kama ndoto na ilikuwa ni lazime itimie!

ITAENDELEA.....Toa comment yako kisha share kwa wengine. SOMA CHOMBEZO LA SLAVE SEX NO 6 KWA KU BOFYA HAPA



TOA MAONI YAKO HAPA BONGOHOT