stories

CHOMBEZO: SLAVE SEX...MTUMWA WA NGONO..(SEHEMU YA 2)


SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)…….(2)
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.

“Sogea sogea karibu kaka”
“poa”
Gari liliposimama Nickson akashuka na akapokelewa na wazazi wake ambao walikuwa wenye furaha kumuona mtoto wao.
SONGA NAYO.

Nickson alijisikia kuchoka, lakini alipowaona wazazi wake uchovu wote ukamtoka, aliachia tabasamu na kuwasalimia wote wawili,Wazazi walionekana kumchangamkia.
“Mzee twendeni japo mkapate mbili tatu”
Nickson alisema huku akianza kutembea kuelekea kwenye baa.
“Mwanangu si utakuwa umechoka sana,twende ukapumzike tutakuja baadaye”
Mama yake mzazi alisema.
“Kumkatalia mtoto ni mwiko,yeye amesema anataka tukapooze koo wewe unasema umechoka chaa”
“Wewe nawe ukishasikia bia mate yanakutoka”
“Sio ivyo,au nakosea Nickson?”
“Hapana Baba”
Wakanyoosha mpaka kwenye moja ya baa kisha wote kuagiza vileo,mpaka ilivyofika saa kumi na mbili wakainuka na kuingia ndani ya gari la Mzee Shayo na safari ya kuelekea nyumbani kuanza,Usiku wa siku hiyo walichelewa kulala sababu walikuwa na mazungumzo marefu, Nickson alikuwa ana mambo mengi ya kuwaambia wazazi wake tangu akiwa mjini.
“Huyu nani huyu Yona,yeye haji mwaka huu?”
“Asije?anakuja kesho kutwa ilibidi nije naye leo”
“Michael?”
“Yeye anaweza asije”
“Alafu uliongea na madogo wako Brian,yeye anakuja?”
“Anakuja na ndege ya kesho jioni hata yeye niliongea naye, kifupi huu mwezi hapa Mwika patakuwa hapatoshi,pia nina marafiki zangu wataingia hapa kesho”
“Aise”
“Ndiyo Ivyo Mzee,mwaka huu hatutaki mchezo”
Siku hiyo wote wakawa wamefurahi na nyumba ilijaa kelele za vicheko vya furaha kisha usiku ulivyokuwa mwingi wakaagana na kuingia vyumbani kupumzika baada ya kula.

Akiwa kitandani Nickson bado aliwaza ni jinsi gani apate kigoli mkoani hapo,ni kweli alijiapizia hatorudi Mkoani Dar es salaam bila ya kuwa na kigoli wa kumuoa.
“Joan angekua hajaolewa,ningemtafuta lakini kuna huyu mtoto mwingine anaitwa Haika,sema bado mtoto sana,lakini lazima nirudi na jiko tena nirudi na kisu kweli kweli,nataka nioe sasa”
Yote hayo yalitiririka kichwani mwa Nickson akiwa amelala chali anachambua kila msichana wa mtaani,kutokana na uchovu alipitiwa na usingizi hapohapo.
Asubuhi alivyoamka kitandani kwake alijisikia uchovu lakini alijizoa zoa kiuvivu na kutoa blankent mwilini, alienda bafuni na kujimwagia maji na kunyoosha seblen, huko aliwakuta tayari wazazi wake mezani,aliwasalimia na wote kujumuika kwa ajili ya kifungua kinywa.
Hata siku moja hakutaka kuwaeleza wazazi wake juu ya jambo jingine lililomleta la kutafuta kigoli, japo alielewa angelisema wazi angepewa ushauri ni wapi akaoe, lakini hakutaka kufanya ivyo.Nickson alilelewa katika misingi ya kidini na wazazi wake na hata siku moja hakuwahi kukosa ibada siku ya Jumapili kwenda kumshukuru Mungu na alitamani siku hiyo ifike ili aende kanisani walau akatoe fungu la Kumi.

Siku hiyo jioni wakawa wamepata ugeni mwingine,Mdogo wake aliyeitwa Brian Shayo akawa amerejea kutoka uingereza Masomoni likizo na hawakukaa sana ugeni mwingine ukawa umefika kutokea mkoani Mbeya, nyumba ikawa imezidi kelele maradufu.
Na ilivyofika Jumapili Nickson na Brian wakaenda kanisani misa ya asubuhi.
Macho ya Nickson yakawa yametua juu ya sura ya msichana mweupe wa kuvutia na kuanzia hapo hakumsikiliza tena mchungaji ni kitu gani anaongea mbele, akili yake ilihama,msichana aliyemuona alikuwa ana uzuri wa ajabu na kichwani kwake alipanga aongee naye ikiwezekana ndiye huyo awe Mke wake kama akitokea akakubali ombi lake, bado aliendelea kumtafakari na kumkagua kuanzia kwenye nywele mpaka chini miguuni,kwa hesabu za haraka msichana huyo alionyesha bado hakujua kuvaa na cha kwanza kukiwaza atakapo mpeleka jijini Dar es salaam ni kumkarabati kila idara.

Ibada ilivyoisha Nickson akatoka nje akiwa ana kazi ya kumtafuta msichana mrembo aliyemuona ndani ya kanisa, alitoka mpaka nje ya geti na kumuona ndiyo anaishia kukatiza kona,hakukubali alianza kutembea harakaharaka na kukunja kona.
“Dada,dada,samahani kidogo naomba usisame!”
“Nina haraka sana”
“Tafadhali kwanza,nimepotea njia, nataka kuelekea kwa mzee mmoja hivi anaitwa Kimaro, kwa Mzee Kimaro ndiyo huku?”
Sio kwamba alikuwa amepotea njia, Nickson alizuga ili aanze mazoea na msichana huyo.
“Mzee Kimaro?ni huko chini sio huku”
“Mbona nimeambiwa ni huku?”
“Mimi ndiye ninaye kwambia kama huniamini basi,naomba niende”
“Lakini”
“Nini?”
“Wewe ni mwenyeji wa huku?”
“Ndio”
Ni kweli msichana aliyekuwa mbele yake alikuwa ni mzuri na kwa mbali alivyofungua kinywa chake kuongea yalionekana meno ya kichaga yenye rangi ya dhahabu,alikuwa ana macho makubwa kiasi na mwenye sura ya kipole,
hata Nickson na ujanja wake wa kukaa mjini alijikuta anaishiwa maneno na kubaki akikuna kichwa chake.
“Unaishi wapi?”
“Hapo mbele,kwenye nyumba nyeupe”
“Haaaa! kwa mzee Urio?”
“Ndio”
“wewe ni binti yake?”
“Kaka mbona maswali mengi? naomba niwahi tutaongea siku nyingine,kwaheri”
“Basi nitajie jina lako”
“Siku nyingine”
Msichana huyo alitembea kwa haraka na kupotelea katikati ya mashamba ya migomba na kahawa.
Nickson mpaka dakika hiyo hakuamini kuwa kijijini Mwika kuna wasichana wazuri kiasi hicho, alitembea akirudi kanisani na kuwakuta watu wameshatawanyika,Mdogo wake Brian ndiye alikuwa akimsubiri na alivyofika waliingia ndani ya gari na kuanza akurudi nyumbani.

Nickson alitumia gari ya baba yake katika mizunguko ya hapa na pale na kitendo cha kurudi nyumbani hakukaa sana,aliliendea gari na safari ya kwenda kwenye nyumba ya Mzee Urio kuanza mara moja,haikuchukua hata dakika ishirini kutokana na ukaribu akawa amefika na kuweka gari nje ya nyumba ya Mzee Urio kisha kushuka na kugonga mlango.
Moyo wake ulimdunda sana na hakujua ni kwanini hali hiyo inajitokeza ghafla, alijihisi akitetemeka na jotoridi kumpanda.
“Kijana,kumbe ni wewe?”
Mzee Urio alimlaki Nickson.Kutokana na udogo wa kijiji hicho ilikuwa rahisi kutambuana mbali na kujuana Mzee Urio na Mzee Shayo walikuwa ni marafiki wakubwa.
“Ndio Mzee Shikamoo”
“Marahaba pita ndani,pita ndani”
“Ahsante”
“Umekuwa M-baba,watoto mnakuwa haraka nyie huko mjini mnakula nini?”
“Hatuli kitu zaidi ya ugali kisamvu”
Wote wakacheka na kufurahi.
“Gloriaaaaa”
“Imbeee”(Abee baba)
“Tengeneza chai vikombe viwili nina mgeni leo”
“Sawa Baba”
Mazungumzo ya Mzee Urio na Nickson yakaanza!
“Pangala”
Wote walishtuka baada ya kumuona Gloria kadondosha vikombe vya chai,alikuwa akitetemeka baada ya kumuona Nickson yupo mbele yake,alikuwa ni mwenye hofu na kuhofia kufokewa na baba yake endapo Nickson angesema kuwa alimfuata yeye.
Gloria alijawa aibu na alimuangalia Nickson kwa macho ya kuibia.
“Vipi?”
“Hapana Baba samahani”
“Sasa unatetemeka nini?kilichokufanya udondoshe vikombe ni kitu sasa?”
“Samahani baba”
****
Nickson hakukauka nyumbani kwa Mzee Urio na kila siku alikuwa akienda nyumbani hapo hata siku ya sikukuu ya Chrissmass ilivyofika siku nzima alikesha kwa Mzee Huyo,
kichwani kwake alikuwa na mahesabu makali,Mzee Urio alimzoea na hata siku moja hakuwahi kuhisi kama Nickson yupo kimawindo!

Baada ya kula sikukuu hatimaye Nickson akaaga na kumkuta Gloria nje ,siku hiyo hakufika kwa Mzee Urio na gari alitembea kwa miguu.
“Gloria”
“Abee”
“Naomba nisindikize basi”
“Usiku sasa hivi,Baba hapendi nitoke usiku”
“Mwambie unanisindikiza mimi”
“Mimi naogopa”
Nickson akavaa ujasiri na kumuendea Mzee Urio kuomba ruksa na bahati nzuri akakubaliwa,na alivyomwambia Gloria naye akashindwa kutoa sababu nyingine.wakaanza safari ya kukatisha katika mashamba ya Migomba.
“Dar es salaam unafanya kazi gani Nickson?”
“Mimi ni Mwanasheria,pia ni wakili wa kujitegemea”
“Kweli?”
“Kwanini nikudanganye sasa”
“Hongera yako”
Mpaka hapo ukimnya ukatawala na kuonekana kila mtu alikuwa akimtegea mwenzake aanze kuongea.
“Gloria”
“Abee”
“Unajua kuwa wewe ni mzuri sana”
“Hapana sijui”
“Mimi ndiyo nakwambia”
“Hata wewe mbona ni kijana mzuri,hivi umeoa eeeh?”
“Bado sijaona lakini nipo katika mipango hiyo”
“Wifi atafaidi,Wifi ni kabila gani?”
“Hapana bado sijampata lakini nipo mbioni kumpata,na akikubali nitamuoa mara moja niende naye mjini kuanza naye maisha nimechoka kuishi mwenyewe”
“Kweli?”
“Haswaa”
“Mimi nakutakia mafanikio mema”
Walizidi kukatiza katikati ya mashamba ya migomba na Kahawa,Nickson aliamini hiyo ndiyo siku muafaka ya yeye kumwambia Gloria ukweli juu ya hisia zake,alifafanua kila kitu kinagaubaga na safari aliyofunga kutoka Dar es salaam ya kutafuta mke.

Kwa mara ya Kwanza Gloria alionesha kusua lakini kadri siku zilivyozidi kwenda Nickson alizidi kupigilia misumari swala la hisia zake.
Hata ingemchukua Mwaka mzima aliapa hatokata tamaa, Gloria alizidi kuwa mzuri machoni mwa Nickson kila kukicha na alichokifikiria ni ndoa kichwani mwake.
siku hiyo ya mkesha wa Mwaka mpya ndiyo walihaidiana kukutana baada ya misa ya usiku na ndiyo ilivyokuwa, baada ya misa kuisha wakashikana mikono mpaka migombani.
“Nickson utanioa kweli?”
“Ndio,nitakuoa kama upo tayari”
“Nipo tayari”
Hapo hapo Nickson akapeleka mdomo wake kinywani kwa Gloria na kuzifunika lips zake na kuanza kulana denda kwa furaha,mapigo ya moyo ya Nickson yaliruka sarakasi kwa furaha, hakuamini kama tayari amepata kigoli,ndimi zao ziligusana midomoni na miguno kuanza kusikika,kila mtu akawa amelegea, Nickson taratibu alipandisha mkono wake juu ya maziwa ya Gloria na kuanza kuyashika, hapo ndipo Gloria alianza kuyafumba macho yake.
Nickson hakuishia hapo alimsogeza taratibu Gloria na kumuegemeza kwenye mti huku akiendelea kumtomasa Maziwa, alivyoona haitoshi aliitoa blauzi yake na kuanza kunyonya maziwa ya Gloria,ulikuwa ni usiku mnene.
Gloria alikuwa anaguna asijue ni kitu gani akifanye alihisi raha za ajabu mno.Mkono wa Nickson ukashuka chini ya kitovu na kuingia chini, aliivuta chupi ya Gloria kwa juu na kuzidi kuupenyeza mkono wake ndani, alivyotaka kuishika ikulu ya Gloria mkono wake ukazuiwa!

Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@bongohotz
ITAENDELEA....share na wengine wasome..

SOMA CHOMBEZO LA SLAVE SEX NO 1 KWA KU BOFYA HAPA

Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa

Usipitwe!! kupitia FACEBOOK, TWITTER na INSTAGRAM kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..!! Usiache ku download application play store BOFYA HAPA KU DOWNLOAD....... LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOKLIKE PAGE

DOWNLOAD APP YA "BONGOHOTZ" UPATE NOTIFICATION KWA KILA KITU KIPYA

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI

Post a Comment

Post a Comment