latest news
MKUU WA MKOA WA TANGA AKABIDHIWA OFISI RASMI.....NI BAADA YA MWANTUMU KUTOLEWA NA MAGUFULI
0
Comments
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela, akipokewa na aliekuwa Mkuu wa Mkoa huo, Mwantumu Mahiza, mara baada ya kuwasili na kupokewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali Leo ikiwa ni siku yake ya kwanza kuwasili na kukabidhiwa ofisi.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Mboni Mgazza wakati akiwasili na kupokewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali ikiwa ni siku yake ya kwanza kuwasili ofisini kwake Jana.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigela, akisalimia na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali mara baada ya kuwasili kwa makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake Mwantumu Mahiza leo.
Post a Comment