Ikiwa imetimia ile sku ya Show kubwa iliyotarajiwa na wa Tanzana wengi "Fiesta" nimekuwekea picha zote za kwenye matukio ya kwenye show hiyo.Fiesta hiyo ambayo imepambwa na wasanii wengi kutoka BONGO na wasanii wa Nigeria Yemi Alade, Tekno na msanii wa Uganda Joseph Chameleon.
Wasanii wengine wakubwa kutokea Tanzania ni Roma, Stamina, Rayvany,jux, madee, chege, nandy, maua barnaba na wengine kibao.
TAZAMA PICHA HAPA
Msanii Nandy hotmaker wa "Nagusagusa" akifanya yake jukwaani
Maua Sama akiwa katika jukwaa akionyesha umahiri wake wa sauti nzuri mbele ya jukwaa
Msanii Juma "JUX" Akiwa amepamba jukaa na style ya kipekee ya uimbaji.
Msami akiwa na madansa wake mbele ya mashabiki wakionyesha umahir wa kucheza na kuimba.
Mama wa Benny Paul naye hakupenda kubaki nyuma kwani na yeye aliweza kumleta ,toto wake Ben Paul kwenye Fiesta 2016.
Rayvany akiwa katika Pozi backstage.
Dogo Janja akiwaa kwenye jukwaa
Msanii TEKNO kutokea nigeria akifanya yake jukwaani
Benny Paul akifanya yake jukwanii.
Abby Skills, Baraka de prince na alikiba pia walifanya show ya nguvu.
Yemi Alade wa Nigeria naye alifanya show ya nguvu kwenye stage.