Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mapema jana aliweza kuhuzuria sikukuu ya pasaka katika kanisa la kilutheri lililopo Azania.
Alipofika kanisani hapo akilakiwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Alex Malasusa alipowasili kwa Ibada ya Pasaka katika Kanisa la KKKT la Azania Front jijini Dar es salaam Machi 27, 2016.
Tazama picha za jana kanisani.....
Rais magufuli akiongea na washiriki kanisani hapo
Akikaribishwa na maaskofu
Post a Comment