Jamaa anaipenda kazi yake na anafahamu vizuri kuilinda kazi yake.
Kama umeweza/utaweza kuhudhuria hafla yoyote ambayo Rais Magufuli anakuwepo, jaribu kumwangalia kwa makini huyu jamaa, na ninaamini utakubaliana na mimi kwenye angalizo langu.
Kwenye taratibu za kiulinzi kwa Rais Magufuli, huwa anakuwa upande wa kushoto wa Rais Magufuli katika mikusanyiko.
Huyu jamaa anafahamu vizuri ku-screen mazingira na ku-avoid distraction iliyoko mbele yake.
Ukiangalia katika mikusanyiko yote inayohusu uwepo wa Rais Magufuli,utagundua huyu jamaa anakuwa focused kwenye mazingira ambayo mtu wa kawaida ambaye hayupo kwenye mission hawawezi kuyagundua, kuyaona na kuyafanyia kazi.
Sina budi kutoa pongezi kwa kuipenda kazi yake.
Keep it up Brother. Kazi yako tunaiona na kuithamini.
The guy is serious cool, calm, and collected
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kazini.
Post a Comment