gossip
MAPYA YAIBUKA AUNT EZEKIEL NA IYOBO KUACHANA...MAMA WA AUNT EZEKIEL AFUNGUKA HIVI..
0
Comments
Moses Iyobo na mpenzi wake, Aunt Ezekiel |
Mapema wiki hii, kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, iliandikwa kuwa Moses amemwaga Aunt na kuamua kuondoka nyumbani walipokuwa wakiishi na Aunt maeneo ya Mwananyamala-Kwa mama Zakaria.
tattoo ya aunt Ezekiel akiwa ameandika jina la mumewe na mtoto wake |
Walipofika, waligonga geti ambapo alitoka mama huyo aliyekataa kujitambulisha jina lake lakini akasema yeye ni mama yake Iyobo na kufunguka kwa kirefu kuhusu taarifa hizo za kuachana kwa mwanaye na Aunt.
“Hizo habari hata mimi nimezisikia. Hazina ukweli wowote. Watu tu wanajaribu kutengeneza uzushi wao kwa maslahi yao wanayoyajua wenyewe.
“Hawajaachana. Ingekuwa kuna ukweli kuhusu habari hiyo, hata mimi usingenikuta hapa. Nipo hapa kwa sababu mkwe wangu na mwanangu wako pamoja sema tu kwa sasa mwanangu Iyobo amesafiri nje ya nchi lakini wapo vizuri,” alisema mama huyo.
Mapaparazi wetu walipoomba kuzungumza na Aunt kuhusiana na habari hizo, mama huyo alisema haiwezekani kwa kuwa amelala hivyo akaomba atafutwe siku nyingine.
Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook
DOWNLOAD APPLICATION HAPA..!!
LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOK
Post a Comment