politics
Hizi ni picha zingine kutoka Jangwani, Wema, Diamond, Mwana Fa wapo pia mtu wangu
0
Comments
Kama kawaida uzinduzi wa kampeni za CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa Urais, Ubunge na madiwani, uzinduzi wa CCM ambao ulipambwa na uwepo pia wa makada wa CCMkutoka
katika tasnia ya filamu na wasanii wa bongofleva pia walikuwepo licha
ya kutokana na ufinyu wa muda waliopata nafasi ya kuperform hadi sasa
ni Peter Msechu, Yamoto Band na Diamond Platnumz sambamba na timu ya watu wake.
Kwa upande wa wasanii wa filamu na baadhi ya wasanii wa muziki wa
bongofleva wao walipanda katika stage na kuimba wimbo wa taifa kwa
pamoja.
Hizi ni picha zingine kutoka Jangawani
Millard Ayo
Post a Comment