BLOG

WCF BONANZA LAFANA - MICHUZI BLOG - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dkt. John Mduma ametoa
wito kwa watumishi wa Mfuko kujijengea utaratibu wa kufanya mazoezi mara
kwa mara kwa ajili ya kuimarisha afya zao. 

Rai
hiyo imetolewa wakati wa Bonanza la WCF lililofanyika tarehe 05/02/2022
katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ambapo watumishi wa
Mfuko walishiriki.

“Michezo
ina manufaa makubwa kwa afya zetu hasa katika nyakati hizi za magonjwa
yasiyoambukiza hivyo tuzingatie mazoezi ili yatuweke katika hali nzuri
kimwili na kiakili”, alisema Dkt. Mduma.

“Michezo
pia inaboresha mahusiano yetu kama watumishi pamoja na majirani zetu na
wananchi kwa ujumla hivyo tuendeleze utamaduni wa kufanya mazoezi mara
kwa mara”, aliongeza Dkt. Mduma. 

Michezo
mbalimbali ilihusika kwenye bonanza hilo la WCF ikiwemo mpira wa miguu,
kuvuta kamba, jogging, riadha, kukimbiza kuku pamoja na kukimbia ndani
ya magunia ambapo washindi walitunukiwa zawadi mbalimbali ikiwemo
vikombe na medali.








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/wcf-bonanza-lafana-michuzi-blog-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment