HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe akiuliza swali katika kikao cha nne cha mkutano wa sita wa Bunge, Jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi
New Content Item (1)By Habel Chidawali
Dodoma. Mbunge wa Bunda Vijijini, Mwita Getere ameibua tena sakata la wabunge kudai mikataba ya miradi mikubwa ipelekwe bungeni ili waipitie.
Katika swali la msingi mbunge huyo ameitaja mikataba ya miradi ya madini, ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na Bomba la gesi ya Mtwara – Dar es Salaam.
Katika maswali hayo ambayo yaliulizwa leo Ijumaa Februari 4, 2022 na Cecil Mwambe kwa niaba yake, mbunge huyo amehoji pia iwapo miradi hiyo inakaguliwa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Katika swali la nyongeza, Mwambe ameomba majibu ya lini mikataba hiyo na mikataba mingine ambayo inatiliwa shaka itapekwa bungeni badala ya majibu kuwa ukaguzi wake hupitia kamati za bunge.
Akijibu maswali hayo, Naibu Waziri wa Katiba Geofrey Pinda amesema kuwa mikataba hiyo inafanyiwa ukaguzi unaotakiwa kupitia kamati za bunge.
Hata hivyo Pinda amesema mikataba hiyo inaweza kupelekwa bungeni ikiwa itahitajika kwa kufuata kanuni za kibunge kwani haina shida yoyote.
Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE
Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili
soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.
Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb
The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.
Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania
Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.
vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.
Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.
https://www.swahili.viuhapa.com/wabunge-wahoji-mikataba-kupelekwa-bungeni-swahili-viuhapa-2/
Post a Comment