awalipua

Ruby awalipua Kusah na mama yake na kuwahusisha na uchawi! - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Ameandika Ruby:

“Naomba Leo nichukue nafasi hii kukukumbusha #kusahau kwamba mm ambae ninatatizo la akili kama unavosema kwamba ndo nnaempa elimu mwanao na kumlea vyema kiasi kwamba humuoni mbele yako wala nyuma tungekua tunakuhitaji tungekusumbua na ukichaa wetu 👌🏾

Guilty inakusumbua ndg mwanasaikolojia 

Hujawahi kukubali ukweli kwamba ulikua unanipiga!leo hii unataka nikuheshimu kwa lipi la upuuzi uliokua unanifanyiaga?!kuzaa mpaka vichaa wanabakwa wanapata mimba nawanazaa 🤷🏾‍♀️ndo mana sijaona haja ya kukusumbua kwa chochote juu ya mtoto!

Ulisema mwanangu alikua kwa mamaako mpaka miezi 8 Sasa mbona alimrudisha miezi 8 akiwa hatembei? so ni mamaako alimbemenda mtoto au alimroga na kumnyoa nywele na kufanya alichotaka na kumrudisha mtoto miguu ikiwa imepinda kisa ww mwanae umekamatwa kwa Kosa la unyanyasaji uliokua unanifanyiaga?

ni mama  wa ainagani 🤷🏾‍♀️na nilipomuuliza alisema NIFANYE NINACHOTAKA!!!well nnachotaka ni Amani ya Mm na mwanangu…. na bado nilipokushirikisha kua mtoto hatembei ukataka nikupe tena mtoto uende nae bumbuli eti after 1month atatembea ukiwa unataka ukafanye nn ili atembee labda?Mkamroge vizuri sieti?

Uliponipeleka kwenu kunitambulisha sio ww na mamaako mlionipeleka kwa mganga mkanichanja Chale pale kwa mama ALII huko kwenu?nilipomkatalia mamaako akasema nn ?ety hata Mungu amesema jisaidie nami nitakusaidia ?kwani Mungu alimaanisha jisaidie kwa uchawi? 

Nilimkuta mamaako anauza Gongo nikacheza mchezo wa hela ilimradi ye apokee apate abadili anachofanya!

Unataka heshima?

Heshima nilikupa na mpaka chupi nikakununulia! Unadhani leo hii ntakupa heshima ipi labda ety kuzaa kwani mi wa kwanza ?

#jiheshimuwwkwanzandommnikuheshimu 

#inakuumakuona iplay both parts without you 

Unasema kwa watu kwamba ulinifumania? Well vipi ww iliekua unadanga kwenye dm za wake za watu na bado wananiletea ushahidi wa kilakitu?

Mm na ww hapo nani chizi ?kitu usichojua nilishakuheshimu as you can see sijawahi kutoa ushahidi wowote juu ya hayo yote I respected you big time but you don’t deserve? Ninavideozote za mtoto jinsi mamaako alivomrudisha….”

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/ruby-awalipua-kusah-na-mama-yake-na-kuwahusisha-na-uchawi-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment