AKITOKEA

RAIS DKT.MWINYI AWASILI MWANZA LEO AKITOKEA ZANZIBAR - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali
Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa
wa Mwanza  Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na Viongozi
wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini
kuelekea Musoma Mkoani Mara.  akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama
cha Mapinduzi CCM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiwa na Mkewe Mama Marium
Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa CCM  Mwanza  pamoja na Viongozi
wengine mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza akiwa safarini
kuelekea Musoma Mkoani Mara.  akihudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama
cha Mapinduzi CCM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Marium Mwinyi
wakiagana na Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama  pamoja na
Wazee wa Chama cha Mapinduzi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume Kiembesamaki Zanzibae wakati wakiondoka kuelekea
Mkoani Mwanza ambapo atahudhuria Sherehe za Miaka 45 ya Chama cha
Mapinduzi CCM Musoma.[PICHA NA IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Marium Mwinyi
wakiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
(kulia) pamoja na Viongozi wengine wa Chama na Serikali katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Kiembesamaki Zanzibar wakati
wakiondoka kuelekea Mkoani Mwanza ambapo atahudhuria Sherehe za Miaka 45
ya Chama cha Mapinduzi CCM Musoma.

 

 








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/rais-dkt-mwinyi-awasili-mwanza-leo-akitokea-zanzibar-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment