latest news

YALIYOSEMWA NA RAIS MAGUFULI LEO IKULU WAKATI AKITUNUKU VYETI




:Rais Magufuli: Kwenye Serikali ambayo mapato yameshuka, unawezaje kununua ndege 6 kwa mpigo, tena mpya?
- Utabadilishana na dagaa?


:Rais Magufuli: Mtu anasema mapato yameshuka huku akijua si kweli kuwa yameshuka
- Inatakiwa wawe wanafikishwa Mahakamani kuthibitisha


:Rais Magufuli: Sina cha kuwapa kwa kwa sababu tumeibiwa Watanzania wote
- Nikaona niwape vyeti iwe kumbukumbu katika maisha yao


:Rais Magufuli: Mwanzo walikuja 8 wakaongezeka kufikia 14 kisha 24, baadaye wakafika karibu 30
- Walikuwa wanapewa dozi kidogo kidogo


:Rais Magufuli: Narudia kusema kuna tuna ushahidi wote wa namna walivyokuwa wanafanya wizi ndio maana wakaja kwenye mazungumzo


:Rais Magufuli: Sikushangazwa na waliokuwa wakiongea na ningeshangaa kama wasingeongea kwasababu ndio uzito wa mawazo yao


:Rais Magufuli: Hata yale Makinikia ya pale Bandarini bado yapo mikononi kwenu(Polisi) na mnaendelea kuyalinda
- Nawashukuru sana


:Rais Magufuli: Kwa Jeshi la Polisi mafanikio ya hii kazi yote kwa ujumla ni kutokana na kazi na juhudi yenu; nawashukuru sana. 

Post a Comment

Post a Comment