Breaking news

BREAKING NEWS: BASI LA HBS LAPATA AJALI MBAYA MCHANA HUU

Breaking News: Basi la HBS limepata ajali eneo la Maji Mazuri barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya. Watu 4 wamefariki na 29 wamejeruhiwa.

Basi hilo lilikuwa linaelekea mkoani Tabora

Post a Comment

Post a Comment