sports

Taifa stars Yapaa viwango vya FIFA kwa kiwango kikubwa

Katika viwango vya ubora wa Soka Dunianivinavyotolewa kila baada ya mwisho wa mwezi na FIFA leo April 6, Tanzaniaimepanda juu kwa nafasi 22.

Tanzania kwa sasa imefanikiwa kusogea hadi nafasi ya 135 kutoka nafasi ya 157 yaani imepanda kwa nafasi 22.Mwezi March Tanzania imecheza mechi mbili ambazo ni dhidi ya Burundi ikashinda kwa goli 2-1 na dhidi ya Botswana iliyoshinda kwa goli 2-0.

Tanzania wakati inakutana na Burundi walikuwa katika nafasi ya 139 na imeshukahadi nafasi ya 141 wakati Botswana ilikuwa 116 na imeshuka hadi 120.

Post a Comment

Post a Comment