fashion

TAZAMA PICHA ZA MSHINDI WA MISS TANGA 2016



Yametimia....!! Mshiriki atakaye iwakilisha mkoa wa Tanga amepatikana na ni Eligiva. Kama hukupata nafasi ya kuwepo pale kwenye hoteli ya Tanga Beach Resort basi unakaribishwa hapa Bongohotz.com Utazame picha za mshindi huku tukikuandalia picha zote za shindano hilo.

tazama picha hapa...









Post a Comment

Post a Comment