Tunae mwigizaji staa wa Tanzania Irene Uwoya kwenye hii post ambapo hajaona soo kushea na sisi sehemu ya safari yake ya mapenzi sababu hakuna anaepinga tabia nyingi za kimapenzi zinafanana kutoka kwenye relationship za watu mbalimbali.
Swali kubwa kwa Irene ni kweli amewahi kuchepuka? yani kutoka na
Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa kwenye uhusiano na Mwanaume
mwingine? jibu ni >>>>
"Kuchepuka
mbona kawaida tu watu wanachepuka, nilijikuta tu unajua wakati mwingine
upo na mpenzi wako alafu anakuboa mpaka vitu vinafika shingoni, mpaka
unasema aaaaah kwanini na mimi nisifanye? "
-millardayo
Post a Comment