baadhi ya watu walimtarajia.
March 7 2016 Lulu amewajulisha Watanzania kwamba anarudi nyumbani siku ya March 8 2016 na atatua uwanja wa ndege Dar es salaam na akayaandika haya.
‘Tukijaaliwa uzima…kesho saa 8:30 (saa nane na nusu Mchana) nitaingia uwanja wa ndege Dar Es Salaam na mzigo wenu😂au acha niseme Tuzo Yenu..!!💋💋💋Can’t wait to see y’all😍
(I’m hungry and I’m ready 4 change….TODAY👊)
Post a Comment