Breaking news
TANZIA :Aliyekua Mbunge Wa Jimbo La Biharamulo Kwa Ticket Ya CHADEMA Anthony Gervas Mbasa AFARIKI DUNIA
0
Comments
Aliyekua mbunge wa Jimbo la Biharamulo kwa ticket ya CHADEMA Mh. Antony Gervas Mbasa enzi za uhai wake
Aliyekua mbunge wa Jimbo la Biharamulo kwa ticket ya CHADEMA Mh. Antony Gervas Mbasa amefariki ghafla usiku wa kuamkia leo. Taarifa za awali zinadai Mh. Mbasa alitoka kazini akiwa mzima wa afya tele japo amekutwa na mauti usiku wa Leo akiwa amelala.
Post a Comment