Breaking news

KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI UGANDA DR.KIZZA AKAMATWA BAADA YA KIJIAPISHA

:Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr.Kizza Besigye amekamatwa na kikosi cha usalama baada kuamua kujiapisha kama Rais wa nchi hiyo hapo jana ikiwa taifa hilo likijiandaa kushuhudia kiapo cha Rais mteule wa taifa hilo Yoweri Museveni akiapishwa rasmi hii leo.

Katika video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii inaonesha Dr Besigye akila kiapo mbele ya mtu aliyevalia mavazi sawa na ya jaji wa mahakama ya juu.Usalama umeimarishwa nchini humo huku mitandao ya kijamii ikizimwa kwa sababu za kiusalama.

Post a Comment

Post a Comment