Huenda itachukua muda mrefu kuja kuona Diamond na Alikiba wakiwa kitu kimoja tena ama kuweka tofauti zao pembeni. Ni kwasababu licha ya Diamond kuonesha kuwa yuko tayari kuyaacha yaliyopita yapite, upande wa wa Alikiba umeonesha msimamo tofauti. Tazama video hiyo chini ufahamu kilichoendelea.
SHOW YA MSAMI BABY KWENYE FM BEACH PARTY MKOANI TANGA ITAZAME HAPA