gossip

HUSNA MAULID YAMKUTA!

MSHIRIKI wa shindano la Miss Tanzania 2011/2012, Husna Maulid yamemkuta ya mwaka, kwa kudaiwa kutolewa vitu vyake nje na mwenye nyumba baada ya kushindwa kulipa kodi, huko Shekilango jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, zoezi lililosimamiwa na mabaunsa.


 MSHIRIKI wa shindano la Miss Tanzania 2011/2012, Husna Maulid.
Chanzo cha kuaminika kililiambia gazeti hili kuwa mrembo huyo alikuwa akidaiwa pango kwa kipindi kirefu, kiasi cha mwenye nyumba kushindwa kuvumilia.
“Tatizo hawa mastaa wetu wanapenda kuishi maisha ya kuigiza, kama mtu huna fedha jitahidi kuishi maisha ya kawaida, siyo ndiyo unataka kuonekana umekamilika kwa kila kitu, mimi naamini kwa kilichomkuta Husna wengine watajifunza pia,” kilisema chanzo hicho kwa masharti ya kutotajwa jina.
“Mimi sijafukuzwa na wala sijatolewa vitu vyangu nje eti kisa nimeshindwa kulipa kodi ya nyumba, niliamua kuhama mwenyewe baada ya kuona mwenye nyumba kanipandishia kodi na sasa hivi ninaishi Mbezi Beach,” alisema Husna baada ya kuulizwa na kuongeza kuwa hataki kujionyesha anapoishi, lakini wanaomfahamu wanajua sehemu gani anaishi hivi sasa.



Vote BONGOHOTZ as WAVUTI/BLOG ILIYOPENDWA ZAIDI  in the TUZO ZA WATU. Just log onto http://tuzozetu.com/vote/#gf_8
OR SMS TZW5 BONGOHOTZ.BLOGSPOT.COM to 15678. Thank yOU Umeisoma hii hapa ya....ADAM MCHOMVU AENDA CHINA KUSOMEA UBUNIFU WA MAVAZI

  Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YANGU!..


Nasibu Abdul Juma (born 2 October 1989), popularly known by his stage name Diamond Platnumz (or simply Diamond), is a Bongo Flava recording artist and singer from Tanzania. He is best known for his hit song "Number One". He performed at the Big Brother Africa 7 eviction show in May 2012.[2] Diamond is considered influential among his fans, and is said to be the most loved and decorated Tanzanian artist at the moment.[3] He was believed to be the highest selling Tanzanian artist of ringtones by mobile phone companies in 2013, as well as being among the artists earning the highest income in the African Great Lakes region's music industry.[3]

Post a Comment

Post a Comment