today news

CLOUDS MEDIA GROUP WAFANIKISHA KUMCHANGIA MATIBABU YA BERNADETHA MSIGWA

Tunapenda kuwashukuru Watanzania wote kwa kujitoa kwa moyo katika kufanikisha harambee ya Bernadetha Msigwa iliyofanyika Chuo Kikuu Mzumbe jana tarehe 28.5.2016 katika ukumbi wa samora.

Jumla ya makusanyo siku ya harambee  fedha taslimu yalikua Tsh. 18,555,600
Mchango uliowasilishwa na Clouds Media Tsh 25,000,000

Kamati ya maandalizi Tsh. 10,469,500

Total CASH at hand ni Tsh. 54,025,100

Source
Daudi wa kota

Post a Comment

Post a Comment