gossip

MSANII LINEX AOA KIMYA KIMYA....AELEZEA MWENYEWE HAPA..!!

MSANII WA miondoko ya bongoflava linex afanya maamuzi ya kuoa kimya kimya.

Jana katika ukurasa wake wa instagram linex alipost picha akiwa na mke wake baada ya kufunga ndoa.

Linex aliandika maneno aya
''Kuna maamuzi ayaitaji matangazo",,

picha nyingine akaandika'' silence speakes volumes "

Kisha kumalizia na neno ``asante mungu" "

Hongera linex kwa kufanya maamuzi ya busara na yenye baraka bongohotz tunakutakia maisha mema ya ndoa na ndoa yenu idumu

Follow us on Facebook, instagram, and twitter. Com/bongohotz

Subcribe our TV on YouTube @bongohotz

Download our apps on Google play @bongohotz

Post by charzdangotetz

Post a Comment

2 Comments

  1. Hongera linex kwa kufanya maamuzi ya busara na yenye baraka bongohotz tunakutakia maisha mema ya ndoa na ndoa yenu idumu

    ReplyDelete
  2. Anonymous2:31 PM

    Hongera Sana linex kwa kufanya maamuzi sahihi na yenye baraka nakutakia maisha mazuri

    ReplyDelete