gossip
'Mashariki Max' Show ya TV ambayo wamekuja nayo Jokate na mrembo wa Kenya Sarah Hassan
0
Comments
Jokate Mwegelo ameungana na mrembo wa Kenya, Sarah Hassan kwenye kipindi kipya cha TV kiitwacho Mashariki Max.
Kipindi hicho kitakuwa kikioneshwa kupitia channel ya ST Swahili ya Star Times.
Kipindi hicho kilichozinduliwa wiki hii kitakuwa kikijihusisha na mitindo ya watu maarufu Afrika Mashariki.
Post a Comment