habari

Zitto Kabwe "Wao Wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi Namuona Kaka Yangu yupo Jela" - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

“Sakata la Freeman ni moja kati ya vitu vinavyoniumiza sana, Freeman amenilea, ninavyomuona yupo jela simuoni kama Mwenyekiti wa CHADEMA, namuona kama Kaka yangu, nimefanya jitihada kuhakikisha anatoka Jela na kila nilichofanya kina ruhusa ya Mbowe, nimeenda Jela na nimeongea nae kumuambia nataka kufanya hivi akaniambia fanya”

“Wao wanamuona Mwenyekiti wao yupo Jela Mimi namuona Kaka yangu yupo Jela huo ndio utofauti, Wahariri waulizeni wenzetu wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe nje ya Jela, Mimi naamini tulichofanya Dodoma (kumuomba Rais Samia amsamehe Mbowe) isingeleta kelele zilizopigwa, leo tungekuwa na Mbowe nje, naamini hivyo” ———Zitto Kabwe Dar es salaam leo

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/zitto-kabwe-wao-wanamuona-mwenyekiti-wao-yupo-jela-mimi-namuona-kaka-yangu-yupo-jela-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment