AKUTANA

Xi akutana na viongozi wa Poland na Pakistan - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Rais wa China Xi Jinping leo amekutana na viongozi kutoka Poland na Pakistan katika msururu wa juhudi za kidiplomasia pembezoni mwa michezo ya olimpiki ya msimu wa baridi. 

Xi amemwambia rais wa Poland Andrzej Duda kwamba China inatafuta kuimarisha zaidi uhusiano na Poland ambayo ushirikiano wake wa karibu na China haujaifurahisha Marekani. 

Gazeti linalomilikiwa na chama cha kikomunisti la Global Times, limeripoti kuwa Xi amemwambia Duda kwamba mataifa hayo mawili yanapaswa kuheshimiana na kujali maslahi ya kimsingi ya kila upande. 

Poland ndilo taifa la pekee la Umoja wa Ulaya kutuma kiongozi aliyechaguliwa katika michezo hiyo licha ya hatua ya kususia michezo hiyo kidiplomasia iliyoongozwa na Marekani. 

Mkutano huo pia unafanyika wakati kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa Urusi kuivamia Ukraine ambayo inashiriki mpaka mrefu wa Pamoja na Poland.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/xi-akutana-na-viongozi-wa-poland-na-pakistan-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment