AONGOZA

WAZIRI MASAUNI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA KUSIMAMIA, KUDHIBITI NA KURATIBU MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YAKE - Swahili Viuhapa

featured image


viuhapa

Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia,
Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Hamad Masauni,
akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya
Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo.
Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio, na kulia ni
Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.

Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia,
Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad
Masauni (katikati meza kuu), akizungumza katika kikao cha kupitia
taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022,
kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Naibu Waziri, Christopher
Kadio, na kulia ni Katibu wa Kamati, Jenitha Ndone. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.

Wajumbe wa
Kamati ya Kusimamia, Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara
wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Kamati hiyo, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani), katika kikao
cha kupitia taarifa ya Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha
2021/2022, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kusimamia,
Kudhibiti na Kuratibu Mapato na Matumizi ya Wizara, Mhandisi Hamad
Masauni (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna
Jenerali Suleiman Mzee, kabla ya kuanza kwa kikao cha kupitia taarifa ya
Kamati hiyo kwa Robo ya Pili ya Mwaka wa Fedha 2021/2022,
kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.




viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/waziri-masauni-aongoza-kikao-cha-kamati-ya-kusimamia-kudhibiti-na-kuratibu-mapato-na-matumizi-ya-wizara-yake-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment