asema

Waziri asema Taliban yakaribia kutambuliwa kimataifa - Swahili Viuhapa

featured image


viuhapa

Waziri wa mambo ya nje wa Afghanistan amesema utawala wa Taliban unakaribia kutambuliwa kimataifa, lakini muafaka wowote utakuwa chini ya masharti yao. 

Waziri Amri Khan Muttaqi ameelezea hayo katika mahojiano na shirika la habari la AFP, yakiwa ya kwanza tangu kurejea kutoka kwenye mazungumzo na mataifa ya Magharibi mjini Oslo, Norway. 

Muttaqi pia ameihimiza Marekani kuachia mali za Afghanistan ili kusaidia kupunguza mzozo wa kiutu unaolikabilia taifa lake. Hakuna nchi iliyoitambua rasmi serikali iliowekwa baada ya Taliban kutwaa madaraka mwezi Agosti mwaka jana, lakini Muttaqi ameiambia AFP jana jioni, kwamba watawala wapya wa Afghanistan wanaanza kukubalika taratibu. 

Amesema mataifa kadhaa yalikuwa yanaendesha balozi zao mjini Kabul, na nyingine zaidi zinatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Mazungumzo ya Norway ndiyo yalikuwa ya kwanza kufanyika nchi ya magharibi yakiwahusisha Taliban.

logoblog


viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/waziri-asema-taliban-yakaribia-kutambuliwa-kimataifa-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment