Burudani

WATANZANIA WAMETAKIWA KUCHUNGUZA SARATANI YA MARA KWA MARA. - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Na Mwandishi Wetu

Wanawake wametakiwa kufanya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi mara kwa mara ili kuokoa maisha yao kwani Takwimu zinaonyesha wagongwa 68 kati ya 100 wa saratani wanapoteza maisha kutokana na kuhudhuria hospitali wakiwa katua hatua za  mwisho za ugonjwa huo.

Taarifa iliyotolewa na shirika lisilo la kiserikali linaloshughulikia afya, hasa afya ya uzazi, Marie Stopes Tanzania imesema Saratani ya mlago wa kizazi ni moja ya ugonjwa unaoongoza kwa vifo vingi zaidi duniani kote, ambapo Takwimu zinaonyesha katika kila watu 100,000 kuna wagonjwa 76 wapya wa saratani ya mlango wa kizazi.

Katika kuadhimisha siku ya saratani ya mlango wa kizazi duniani sambamba na siku ya wapendanao shirika la Marie Stopes Tanzania litafanya shughuli mbalimbali ikiwemo kutoa elimu juu ya saratani ya mlango wa kizazi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Pamoja na utoaji elimu Pia shirika litatoa  huduma ya uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti katika Hospitali ya Marie stopes Mwenge na vituo vyake vingine vilivyo Mwanza, Mbeya, Iringa , Zanzibar , Makambako- Njombe, Kimara- Dar es Salaam, Arusha , Musoma- Mara na Kahama- Shinyanga.

Ikumbukwe kuwa Kila ifikapo tarehe 4 Februari dunia huadhimisha Siku ya saratani Siku ambayo ni mahususi kwa ajili ya kuongeza uelewa kuhusu masuala ya saratani ya mlango wa kizazi lakini pia kuhimiza watu kufanya uchunguzi kwani ugonjwa huo ukigundulika mapema kuna uwezo mkubwa wa mtu kupona au kupata nafuu kwa muda mrefu








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/watanzania-wametakiwa-kuchunguza-saratani-ya-mara-kwa-mara-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment