Burudani

Wanajeshi wa Marekani wawasili Poland - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Wanajeshi wa Marekani wamewasili Poland leo ikiwa ni sehemu ya hatua zinazochukuliwa na Jumuiya ya Kujihami NATO ya kuongeza idadi ya wanajeshi kufuatia wasiwasi kwamba Urusi inaweza kuivamia Ukraine. 

Afisa wa ngazi ya juu wa jeshi la Poland amesema kundi la kwanza la wanajeshi hao wa Marekani limelakiwa huko kusini magharibi mwa nchi hiyo huku kundi jingine la wanajeshi 1,700 likitarajiwa kuwasili Poland hivi karibuni. 

Serikali mjini Washington ilisema mnamo wiki iliyopita kuwa inanuwia kutuma wanajeshi wa ziada 3,000 kwenda mashariki kwa Ulaya ili kuzilinda nchi wanachama wa Jumuiya ya Nato dhidi ya “uchokozi” wowote. 

Mataifa ya magharibi yanaituhumu Urusi kwa kulundika mamia kwa maelfu ya wanajeshi wake kwenye mpaka na Ukraine yakisema hatua hiyo ni ishara ya wazi kwamba Moscow inalenga kuivamia kijeshi Ukraine, madai ambayo Urusi

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/wanajeshi-wa-marekani-wawasili-poland-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment