AFRIKA

Wakuu wa nchi za Afrika wakutana katika kikao cha 35 cha Umoja wa Afrika Ethiopia - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Kikao cha viongozi wa Umoja wa Afrika kimeanza Jumamosi mjini Addis Ababa, Ethiopia na kauli mbiu yam waka huu “Kuimarisha Uwepo wa  Lishe na Usalama wa Chakula katika bara la Afrika.

Wamekutana ili kuimarisha mifumo ya uzalishaji chakula, mifumo ya afya na ustawi wa jamii kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya binadamu, kijamii na kiuchumi.” Viongozi kutoka kote barani humo walikusanyika kujadili masuala yanayoliathiri bara hilo; hasa janga la Corona na ukosefu wa usalama.

Kikao cha 35 cha Umoja wa Afrika kilianza Jumamosi katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa. Ingawaje kauli mbiu inaelezea kujenga uthabiti katika lishe na kujitegemea katika chakula, Covid 19 na usalama viko juu kwenye ajenda huku mpanduzi na ukosefu wa uthabiti wa kisiasa vikiendelea kuathiri wakazi kote barani Afrika.

Wakati akiwahutubia viongozi wa bara hilo, Musa Faki Mahamat, mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, alisema Afrika ni miongoni mwa mabara yaliyopigwa vibaya na Covid 19. Pia alielezea wasi wasi wake kuhusu ukosefu wa upatikanaji wa chanjo kwa waafrika wengi. Aliwaomba viongozi wa kiafrika kukisaidia kituo cha Afrika cha kudhibiti magonjwa.

Mwenyekiti Faki pia alishirikiana wasi wasi wake kuhusu kushuka kwa hali ya usalama barani Afrika. Anasema AU inakabiliwa na kushindwa kitaasisi kwasababu ya mapnduzi na uasi. Aliomba taasisi za kikanda kufanya kazi kwa karibu sana na Umoja wa Afrika na mataifa wanachama wake kuachana na matumizi ya kisingizio cha “mamlaka yao.”

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed pia ni miongoni mwa viongozi ambao walihutubiwa katika mkutano huo. Katika matamshi yake, Abiy alisisitiza nia ya utawala wake kumaliza mzozo uliodumu kwa miezi 16 na waasi wa Tigray.

“Kama ishara ya nia njema, tumewaachilia washukiwa wa juu, huku tukiweka mazingira mazuri kwa mazungumzo. Sambamba na azimio letu la amani, hivi karibuni tulianzisha mjadala wa pamoja wa kitaifa kwa sheria rasmi. Nia yetu ya dhati kutafuta amani ya kudumu na katika nchi yetu bado litakuwa ndiyo kipaumbele chetu,” amesema Abiy.

Abiya aliwaomba viongozi kuunga mkono ombi lake kwa Afrika kuwa na uwakilishi wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Kwa kuongezea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres alihutubia katika kikao hicho kwa njia ya video. Guterres alisema Afrika imeathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa wakati ikichangia chini ya asilimia 3 ya utoaji wa gesi chafu.

“Kuzungumzia ukweli wa janga hili, tunahitaji kuwa wa kukuza ufadhili na kukabilia na kushughulikia hali hii barani humo. Ahadi ya Glasgow ya kuongeza ufadhili mara mbili kutoka dola bilioni 20 lazima utekelezwe,” amesema Guterres.

Guterres alieleza anafanya kazi na jumuiya ya kimataifa kukidhi utashai wa mabadiliko ya hali ya hewa kwa Afrika. Pia aliwataka viongozi wa Afrika kuwajumuisha vijana katika

Utawala wao na kuwaacha raia kutumia haki yao ya kisiasa na kidemokrasia.

Washiriki katika kikao cha 35 cha viongozi wa Umoja wa Afrika wamemtaja kiongozi wa Senegal Macky Sall kama rais mpya wa AU.

logoblog

Thanks for reading Wakuu wa nchi za Afrika wakutana katika kikao cha 35 cha Umoja wa Afrika Ethiopia






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/wakuu-wa-nchi-za-afrika-wakutana-katika-kikao-cha-35-cha-umoja-wa-afrika-ethiopia-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment