Waandamanaji Sudan wazuia barabara inayoelekea Misri kwa siku ya tisa - Swahili Viuhapa
Kuendelea kufungwa kwa barabara kuu inayounganisha Sudan na Misri kunakofanywa na wapinzani Sudan upande wa kaskazini kumeingia siku ya tisa siku Alhamisi.
Waandamanaji upande wa jimbo la kaskazini wameweka vizuizi kadhaa katika barabara inayounganisha nchi mbili na wamevuruga harakati za usafiri wa magari yanayomilikiwa na misri yanayorejea kutoka sudan yakiwa na mifugo na bidhaa.
Waandamanaji hao ambao wengi ni wakulima walifunga barabara kwa sababu serikali imeongeza gharama ya umeme wakiishinikiza serikali kubadilisha msimamo wake.
Picha za video zilizo bandikwa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha msururu mrefu wa magari ya Misri yakiwa yamekwama katika barabara kati ya Khartoum na Ergreen mpakani.
Wanaharakati wengi wanaounga mkono demokrasia wanapinga usafirishaji wa mifugo na bidhaa nyingine za kilimo za Sudan ambazo wanadai kuwa zinawanufaisha jeshi na makampuni.
Thanks for reading Waandamanaji Sudan wazuia barabara inayoelekea Misri kwa siku ya tisa
Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili
soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.
Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb
The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.
Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania
Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.
vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.
Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.
https://www.swahili.viuhapa.com/waandamanaji-sudan-wazuia-barabara-inayoelekea-misri-kwa-siku-ya-tisa-swahili-viuhapa/
Post a Comment