habari

Urusi yapiga marufuku DW kuendesha shughuli zake nchini humo - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Shirika la Utangazaji la Ujerumani – DW limeapa kuchukua hatua ya kisheria baada ya Urusi kulipiga marufuku kuendesha shughuli zake nchini humo. 

Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Urusi imetangaza jana kuwa ofisi za DW mjini Moscow zifungwe na kuvifuta vibali vya kazi vya waandishi wa habari wa shirika hilo. Mkurugenzi Mkuu wa DW Peter Limbourg amelaani hatua hiyo akiapa kuwa shirika hilo la utangazaji litaendelea kuripoti kuhusu matukio ya Urusi bila kuzuiwa. 

Hatua ya Moscow ilichukuliwa haraka kulipiza kisasi uamuzi wa Jumatano wa Tume ya utoaji Leseni na Usimamizi – ZAK, shirika linalosimamia vyombo vya habari Ujerumani, kuipiga marufuku televisheni ya RT DE inayomilikiwa na serikali ya Urusi kutangaza nchini humo kutokana na kutokuwa na leseni.

Wizara ya Mambo ya Kigeni ya Ujerumani imelalamikia hatua hiyo ikisema itaharibu hata zaidi mahusiano kati ya nchi hizi mbili. DW, imekuwa na leseni ya utangazaji nchini Urusi tangu mwaka wa 2005.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/urusi-yapiga-marufuku-dw-kuendesha-shughuli-zake-nchini-humo-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment