Bado

UN: Watoto wadogo bado wamezuiwa katika gereza nchini Syria - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Umoja wa Mataifa umesema leo kwamba watoto wadogo bado wanazuiliwa katika gereza moja Kaskazini Mashariki mwa Syria lililoshambuliwa mwezi uliopita na kundi linalojiita dola la kiislamu IS huku ikitaja hali yao kuwa hatari. 

Mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yanayojumuisha shirika la Save the Children na Human Rights Watch, awali yalisema kuwa wavulana 700 walikuwa wamezuiwa katika gereza la Ghwayran kabla ya operesheni ya Januari 20. 

Watoto hao wa umri wa kati ya miaka 12 na 18 wanawajumuisha wengi waliokuwa na jamaa watu wazima ndani ya gereza hilo na kuhamishwa kutoka kambi za karibu za wakimbizi zinazohifadhi maelfu ya watoto wa wapiganaji wa itikadi kali. 

Katika taarifa, Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto UNICEF, limesema lilikutana na baadhi ya watoto ambao bado wamezuiliwa katika gereza hilo la Ghwayran na kuongeza kwamba licha ya huduma za kimsingi zilizopo kwasasa, hali ya watoto hao ni mbaya bila ya kutaja ni watoto wangapi ambao walikuwa bado wanazuiliwa.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/un-watoto-wadogo-bado-wamezuiwa-katika-gereza-nchini-syria-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment