Anga

Taliban yapongeza kurejea kwa marubani watano wa jeshi la anga - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Wizara ya Ulinzi ya serikali ya Taliban nchini Afghanistan imetangaza kwamba marubani watano wa jeshi la anga la Afghanistan (AFF) waliokimbia nchi hiyo wakati kundi la Taliban lilipochukuwa mamlaka kwa nguvu mnamo mwezi Agosti, wamerejea nchini humo baada ya mashauriano na serikali hiyo ya Kiislamu.

Katika taarifa, wizara hiyo ilidai kuwa marubani hao walitoroka nchini humo kufuatia ushindi wa Taliban mwezi Agosti, lakini sasa wamerejea kutokana na himizo la mpango wa mamlaka hiyo kutumikia tena katika jeshi la anga la nchi hiyo. 

Picha iliyotolewa na wizara hiyo, ilionyesha marubani hao waliorejea wakikaribishwa na waziri wa ulinzi wa Taliban Mullah Yaqoob Mujahid. Nyuso zao zilifichwa na hakuna habari zaidi zilizotolewa. 

Wakati serikali ya awali ya Afghanistan ilipopinduliwa, mamia ya marubani waliopata mafunzo kutoka kwa Marekani walitumia ndege za jeshi la anga la Afghanistan kutorokea katika mataifa jirani ya Tajikistan na Uzbekistan kwa kuhofia mashambulizi ya kisasi iwapo wangebaki nchini humo.

logoblog

Thanks for reading Taliban yapongeza kurejea kwa marubani watano wa jeshi la anga






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/taliban-yapongeza-kurejea-kwa-marubani-watano-wa-jeshi-la-anga-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment