Burudani

Shirika la haki lasema mamia ya watoto wametoweka katika jela ya Kikurdi Syria - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Mamia ya wavulana wametoweka kwenye gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuilia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu – IS na familia zao. 

Hii ni baada ya wanajeshi Kikurdi wanaoungwa mkono na Marekani wakipigana na wanamgambo wa IS kwa siku kumi ili kuikomboa jela hiyo. 

Ripoti ya Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limeyasema hayo leo ikiwa ni siku moja baada ya kiongozi mkuu wa IS, Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurayshi, kuuawa katika operesheni ya Marekani kwenye makaazi yake kaskazini magharibi mwa Syria. 

Rais Joe Biden alisema al-Qurayshi alihusika na shambulizi kwenye jela hiyo ya Syria, pamoja na mauaji ya halaiki dhidi ya watu wa jamii ya Yazidi nchini Iraq mnamo mwaka wa 2014. 

Watoto hao ni kutoka jamii na uraia wa mchanganyiko. Waliwekwa gerezani kwa sababu serikali nyingi zimekataa kuwahamisha, huku mamlaka za Kikurdi zikielezea wasiwasi kuwa huenda wana tabia za itikadi kali.

logoblog

Thanks for reading Shirika la haki lasema mamia ya watoto wametoweka katika jela ya Kikurdi Syria






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/shirika-la-haki-lasema-mamia-ya-watoto-wametoweka-katika-jela-ya-kikurdi-syria-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment