afutiwa mashtaka

SAMIA : JICHO LA CHAMA LINAWAFUATILIA WALIOANZA KAMPENI MKOANI MARA - MALUNDE 1 BLOG - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Na Dinna Maningo, Musoma

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa,ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Jicho la Chama litakuwa karibu kufuatilia wanachama walioanza mapema pilikapilika za kampeni katika mkoa wa Mara.

Mwenyekiti huyo wa CCM Taifa ameyasema hayo Leo Februari 5,2022 wakati wa kilele cha maadhimisho ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa chama hicho Februari 5,1977,sherehe zilizoambatana na burudani mbalimbali na uzinduzi wa kadi mpya za wanachama za mfumo wa kielektroniki.

“Tumeanza kuona pilikapilika hapa Mara za kampeni tunafuatilia,kila mtu ana haki ya kugombea,jicho la chama litakuwa karibu kufatilia” ,amesema Samia.

Ameongeza kuwa mwaka huu 2022 ni uchaguzi ndani ya chama hicho na kwamba wanatakiwa viongozi imara ili kufanikisha vyema kwenye uchaguzi,amewahimiza viongozi na Jumuiya zake kufanya kazi kwa bidii.

Amesema kuwa safari ya miaka 45 haikuwa nyepesi kwasababu kulikuwa na ushindani na vyama vingine nakwamba ushindi wa CCM umetokana na chama hicho kujenga imani na hivyo kuaminiwa na wananchi.

TAZAMA <> PICHA SHEREHE ZA MIAKA 45 YA CCM 2022

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/samia-jicho-la-chama-linawafuatilia-walioanza-kampeni-mkoani-mara-malunde-1-blog-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment