APOKEA

RC MAKALLA APOKEA SHEHENA YA VITANDA VYA WAGONJWA KUTOKA UJERUMANI.. - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

– Avikabidhi kwa kila Halmashauri kwaajili ya kutumika hospitalini.

– Asema msaada huo Ni Matokeo ya jitiada za Rais Samia Suluhu Hassan kudumisha mahusiano ya Kidiplomasia.

– Kontena nyingine 6 za Vifaa kutua nchini wakati wowote.

Na Mwandishi Wetu

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo amepokea msaada wa Vifaa vya afya ikiwemo Vitanda na Meza vyenye thamani ya Shilingi Milioni 205 kutoka Jiji la Hamburg ya Ujerumani kupitia Taasisi ya The Free Hanseatic city Dada wa Jiji la Dar es salaam.

RC Makalla amesema kupatikana kwa Vifaa hivyo Ni Matokeo ya jitiada anazofanya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mahusiano ya Kidiplomasia baina ya mataifa mbalimbali.

Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Vifaa hivyo iliyofanyika hospital ya Wilaya ya Kigamboni, RC Makalla amesema msaada uliotolewa awali Ni Kontena 3 zenye Vitanda 108 na Meza 72 na awamu ya pili zitakuja Kontena 6 zenye vitanda 324, vitanda 151 vya wagonjwa mahututi na Meza 51.

Aidha RC Makalla Baada ya kupokea Vifaa hivyo amevikabidhi kwa Halmashauri za Dar es salaam ambapo Wilaya ya Kigamboni imepokea Vitanda 24 na kabati 16, Kinondoni vitanda 21 na kabati 14, Temeke vitanda 21 na kabati 14, Ilala vitanda 21 na kabati 14 na ubungo vitanda 21 na kabati 14.

Hata hivyo RC Makalla amesema msaada wa vitanda hivyo umekuja wakati muafaka na vitasaidia kupunguza Kero ya uhaba wa vitanda hospitalini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh , Amos Gabriel Makalla akikata utepe kuashiria kupokea rasmi vitanda kutoka Ujerumani

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla akiwa na Viongozi mbalimbali wa mkoa pamoja na wakuu wa Wilaya wakikagua shehena ya Vitanda vilivyoifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kigamboni

Mtaalamu wa Vifaa tiba akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla namna vitanda hivyo vinavyofanya kazi na vinavyoweza kumsaidia mgonjwa kwa urasi






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/rc-makalla-apokea-shehena-ya-vitanda-vya-wagonjwa-kutoka-ujerumani-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment