Breaking news

MAREKEBISHO MADOGO KWENYE ORODHA YA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WALIO TEULIWA NA RAIS MAGUFULI

Taarifa niliyoipokea kutokea Ikulu jijini Dar es salaam imedai kwamba kuna marekebisho madogo katika majina yaliyopo kwenye orodha ya wakurugenzi wa Halmashauri za Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya iliyotolewa hapo awali ambapo Dkt. Leonard Moses Massale ametangazwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma.

Jina hilo limeingizwa katika Orodha ya Wakurugenzi wa halmashauri kwa makosa na kwa sababu hiyo Dkt. 
Leonard Moses Massale anaendelea kuwa Mkuu wa wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza. Kufuatia marekebisho hayo, uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma utatangazwa baadaye.

Jiunge na BONGOHOTZ.COM sasa

Usipitwe!! kupitia FACEBOOKTWITTER naINSTAGRAM kupata habari ndani ya sekunde kila inapotufikia..!! Usiache ku download application play store BOFYA HAPA KU DOWNLOAD....... LIKE PAGE YA BONGOHOTZ KWENYE FACEBOOKLIKE PAGE 

DOWNLOAD APP YA "BONGOHOTZ" UPATE NOTIFICATION KWA KILA KITU KIPYA


TOA MAONI YAKO HAPO CHINI




Post a Comment

Post a Comment