ashtushwa

Rais Samia ashtushwa polisi kujichunguza mauaji Mtwara - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuunda kamati ya kufanya uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Mtwara huku akilitaka jeshi hilo kujitafakari.

RAIS Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza na wananchi leo akiwa wilayani Magu Jijini Mwanza akielekea  mkoani Mara kuhudhuria maadhimisho ya miaka 45 ya kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Samia amesema kuna mauaji yametokea Mtwara na kwa taarifa zilizopo ni Jeshi la Polisi ndilo lililofanya mauaji huku taarifa alizonazo jeshi hilo limetengeneza kamati ya kufanya uchunguzi.

Amesema haiwezekani jeshi lifanye mauaji hilo hilo lijichunguze lenyewe alafu walete taarifa hivyo amemuagiza Waziri Mkuu kuunda kamati nyingine iende ikafanye uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na jeshi hilo.

” Ndugu wananchi tusubiri taarifa ya tume huru itakayoundwa na Waziri Mkuu ituletee taarifa tuilinganishe na ya Jeshi la Polisi tuone taarifa hizo zinasemaje tuchukue hatua muafaka,”amesema Samia.

 

Pia aliwaomba wananchi kudumisha amani na kuacha kufanya mauaji kwa sababu yeyote.

Awali  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel ameeleza kuwa walipokea fedha za kujenga vyumba vya madarasa pamoja na shule shikizi vyumba 32 ambapo kazi ilifanyaka lakini kuna watu waliiba fedha hiyo.

Amesema hawakupiga kelele baada ya jambo  hilo hivyo  kuna watu walikamatwa na wengine wapo ndani  katika Halmashauri ya Buchosa.

“Tulisema tutasema kweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu chenchi imebaki zaidi ya million 600 kwenye miradi yote hii tuliamua kusimamia na tutaendelea kusimamia,”amesema Mhandisi Gabriel.

Ameongeza kuwa watahakikisha fedha zote zinazokuja mkoani hapo zinakuwa salama na inatumika ipasavyo. 

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/rais-samia-ashtushwa-polisi-kujichunguza-mauaji-mtwara-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment