AAGIZA

Rais Samia aagiza TAKUKURU kufuatilia walioongeza bajeti ya ujenzi wa mradi wa hospitali ya Kwangwa kutoka bilioni 25 hadi 27 - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Na Timothy Itembe Mara.

Rais wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania,Samia Suluhu Hassani amesikitishwa na kitendo cha  baadhi ya watumkishi kukwapua fedha za miradi ya maendeleo zinazotolewa na serikali.

Samia alisema leo kuwa watumishi na wananchi wasingangae pale ambapo atachukua hatua dhidi ya watumishi kama hao.

“Kumekuwa na vinaneno kadhaa mitaani kuwa miradi haitaendelea kutekelezwa lakini mimi niseme miradi itatekelezwa kwa kasi sana na niwaonye baadhi ya watumishi ambao wanashiriki kutafuna fedha za serikali zilizotengwa kutekeleza miradi ya maendeleo  kwa Wananchi wakinainika watachukuliwa hatua ikiwemo kutumbuliwa”alisema Samia.

Rais Samia alisema hayo mbele ya viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na wanachama cha mapinduzi wakati wa ziara yake ya kukagua miradi pamoja na kuweka jiwe la msingi utekelezaji wa mradi wa maji mgango Kebakari Butiama wenye dhamani ya shilingi Bilioni 75.5.

Katika ziara hiyo Rais huyo alitumia nafasi hiyo kutembelea mradi wa Hospitali ya kumbukumbu ya mwali Julias  Kambarage Nyerere eneo la Kwangwa miji Musoma ambapo alisema kuwa kuna baadhi ya watumishi katika ujenzi huo waliongeza fedha za mradi za ujenzi kutoka Bilioni 42 hadi Bilioni 27 na kutaka Taasisis ya kupambana na Rushwa TAKUKURU kufuatilia na kujua waliohusika ili kuchukuliwa hatua.

Kwa upande wake mkuu wa mkoa Mara,Aly Happy aliomba Rais kuwachukulia hatua Watumishi wale wote ambao fedha zinaletwa kutekeleza miradi kwa wananchi badala yake wanazitumia kwa masilahi yao binafsi na miradi kushindwa kukamilika.

Happy alitimia nafasi hiyo kumpongeza Rais Samia katika kuleta fedha za miradi ili kuwapunguzia wananchi wa Mara makali ya gharama za kimaisha ikiwemo fedha za Elimu Bure pamoja na za kujenga mahospitali vituo vya Afya na Zahanati ili kukabiliana na Oviko 19.

Naye Abeli Makubi ambaye ni Katibu mkuu wizara ya Afya alisema kuwa ujenzi wa hospitali ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayojengwa eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma ulianza mwaka 1975 kwa kazi ya usanifu kazi ya ujenzi ilianza rasimi mwaka 1980 baada ya usanifu kukamilika ujenzi wa hospitali hii una jingo moja ambalo lina vitalu vitatu (Blocks) yaani A na B na C zilizoungana (Semidetached Blocks).

Ujenzi wa hospitali ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere umekuwa ukitekelezwa kwa awamu kuu nne ambazo mpaka sasa zimegharimu jumla ya shilingi bilioni 26.9 na unategemewwa kugharimu shilingi Bilioni 61.1 mpaka kukamilika kwake.

 

logoblog

Thanks for reading Rais Samia aagiza TAKUKURU kufuatilia walioongeza bajeti ya ujenzi wa mradi wa hospitali ya Kwangwa kutoka bilioni 25 hadi 27






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/rais-samia-aagiza-takukuru-kufuatilia-walioongeza-bajeti-ya-ujenzi-wa-mradi-wa-hospitali-ya-kwangwa-kutoka-bilioni-25-hadi-27-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment