Burudani

Rais Macron na Kansela Scholz kufanya ziara Urusi na Ukraine - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa na Kansela Olaf Scolz wa Ujerumani watafanya ziara nchini Urusi na Ukraine kwa nyakati tofauti katika siku chache zinazokuja kama sehemu ya juhudi za kidiplomasia za kuizuia Moscow kuivamia Ukraine. 

Rais Macron atakwenda Urusi siku ya Jumatatu na baadae mjini Kyiv siku ya Jumanne kuongeza msukumo wa kufanyika majadiliano na rais Vladimir Putin ili kupunguza shaka shaka za kutokea mzozo kamili wa kijeshi. 

Kwa upande wake, Kansela Scholz ambaye serikali yake inahimiza njia za kidiplomaisa katika mzozo na Urusi atafanya ziara nchini Ukraine Februari 14 na kisha kuitembelea Moscow Februari 15 kwa mazungumzo ya kina na viongozi wa pande hizo mbili. 

Hapo jana mawaziri wa mambo ya kigeni wa Marekani na Ukraine walizungumza kwa njia ya simu kujadili namna ya kuishinikiza Urusi kuridhia majadiliano na kupunguza kitisho cha usalama kwenye mpaka na Ukraine.

logoblog






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/rais-macron-na-kansela-scholz-kufanya-ziara-urusi-na-ukraine-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment