Daraja

Polisi Kuwasaka Waliozusha Katazo la IST na Passo Kupita Daraja la Tanzanite - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Jesho la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limekanusha taarifa iliyoambatana na Picha ya Kamanda wa Polisi wa Kanda hiyo Muliro J. Muliro – ACP kuwa amepiga marufuku Magari aina ya IST na PASO kupita katika Daraja jipya la Tanzanite lililopo maeneo ya Surrender Jijini Dar es salaam.

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam linautaka Umma uelewe kuwa halijawahi kutoa Taarifa hiyo inayosambaa kwenye Vyombo mbali mbali vya Habari ikiwemo Mitandao ya kijamii hivyo Taarifa hizo sio za kweli na Jeshi halijajua malengo yake ni nini.

Jeshi linafanya uchunguzi kujua aliyezitoa, kwani hata Milard Ayo amekanusha kuwa ukurasa uliotumika si wake.

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam limeelekeza kuwa halitavumilia kuwepo kwa Mtu/kikundi ambacho kimejikita katika kupotosha Taarifa mbali mbali kwa umma ambapo misingi ya Kisheria itafuatwa ili kuwabaini na kuwafikisha kwenye mamlaka za kisheria watu wanaofanya vitendo hivyo.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE








viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/polisi-kuwasaka-waliozusha-katazo-la-ist-na-passo-kupita-daraja-la-tanzanite-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment