000 wa Urusi kuingia Belarus ndani ya wiki chache

NATO yatarajia wanajeshi 30,000 wa Urusi kuingia Belarus ndani ya wiki chache - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami NATO Jens Stoltenberg, amesema takribani wanajeshi 30,000 wa mapambano kutoka Urusi wanatarajiwa kuwasili nchini Belarus katika wiki zijazo, na kuelezea wasiwasi juu ya kuongeza kwa wanajeshi wa Urusi karibu na Ukraine. 

Stoltenberg ameyasema hayo kufuatia mkutano na waziri mkuu wa Macedonia Kaskazini Dimitar Kovacevski. “Katika siku zilizopita, tumeshuhudia uhamishaji mkubwa wa vikosi vya jeshi la Urusi kuingia Belarus. Idadi hii ni kubwa tangu enzi za vita baridi. Tunazungumzia uwezo mkubwa wa zana za kisasa za kijeshi. 

Yote haya yatajumuishwa na luteka za kila mwaka za vikosi vya nyuklia vya Urusi zinazotarajiwa kufanyika mwezi huu,” alisema Stoltenberg. 

Urusi inapanga kufanya luteka za kijeshi nchini Belarus, mshirika wake wa karibu katikati mwa mwezi huu, na imeashiria kuwa wanajeshi chini ya 13,000 watashiriki. 

Washirika wa Magharibi wanahofia kwamba Moscow huenda inapanga uvamizi dhidi ya Ukraine. Lakini Moscow inakanusha madai hayo na inayatuhumu mataifa ya NATO kwa kuchochea mzozo.

logoblog

Thanks for reading NATO yatarajia wanajeshi 30,000 wa Urusi kuingia Belarus ndani ya wiki chache






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/nato-yatarajia-wanajeshi-30000-wa-urusi-kuingia-belarus-ndani-ya-wiki-chache-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment