amuagiza

MwananchiHabari ZaidiKitaifa Samia amuagiza Majaliwa kuunda kamati kuwachunguza Polisi mauaji Mtwara - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

 

Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuunda kamati huru kuchunguza tuhuma za mauaji mkoani Mtwara yanayodaiwa kufanywa na askari polisi.

Akizungumza leo Ijumaa Februari 4, 2022 wakati akiwa Magu akielekea katika sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya CCM mkoani Mara zitakazofanyika kesho, Rais Samia amekosoa polisi kuunda kamati ya kujichunguza wenyewe baada ya tukio hilo.

“Kuna mauaji yametokea Mtwara na kwa taarifa zilizopo ni Polisi ndio lililofanya mauaji. Taarifa niliyonayo ni kwamba Polisi wameunda kamati ya kufanya uchunguzi halafu walete taarifa.”

“Haiwezekani Jeshi lifanye mauaji halafu jeshi lichunguze lenyewe” amesema Rais Samia nakuongeza.

Nimemuelekeza Waziri Mkuu aunde kamati nyingine iende ikafanye uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na Jeshi la Polisi halafu watuletee taarifa lakini wakati huohuo nataka Jeshi lako lijitafakari waone kama kinachotokea ni misingi ya Jeshi la Polisi, “amesema.

Katika ufafanuzi wake Rais Samia amesema,”kwa hiyo tutasubiri taarifa ya kamati huru itakayoundwa na Waziri Mkuu ituletee taarifa tulinganishe na ile ya Jeshi la Polisi tuonee taarifa mbili zinasemaje tuchukue hatua muafaka.”

Hivi karibuni askari saba wa Jeshi la Polisi walipandishwa kizimbani kwa tuhuma za mauaji ya mfanyaniashara wa madini mkoani Mtwara huku wa nane aliyekabiliwa na tuhuma hizo akijinyonga alipokuwa mahabusu.

logoblog

Thanks for reading MwananchiHabari ZaidiKitaifa Samia amuagiza Majaliwa kuunda kamati kuwachunguza Polisi mauaji Mtwara






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/mwananchihabari-zaidikitaifa-samia-amuagiza-majaliwa-kuunda-kamati-kuwachunguza-polisi-mauaji-mtwara-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment