ateuliwa

Mkuu wa NATO Stoltenberg ateuliwa kuongoza Benki Kuu ya Norway - Swahili Viuhapa

featured image





viuhapa

Serikali ya Norway imesema Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Jens Stoltenberg, atachukua wadhifa wa mkuu mpya wa benki kuu ya nchini humo. Upinzani umeelezea wasiwasi kuwa uteuzi wa waziri mkuu huyo wa zamani huenda ukadhoofisha uhuru wa benki kuu. 

Wakati nafasi hiyo itakuwa wazi kuanzia Machi mosi, Stoltenberg amesema kwanza atakamilisha muhula wake wa uongozi wa NATO, ambao unakamilika Oktoba mosi. 

Benki Kuu ya Norway imesema inataraji gavana mpya huyo kuchukua usukani Desemba Mosi mwaka huu. Waziri wa Fedha wa Norway Trygve Slagsvold Vedum amesema katika taarifa kuwa alihusika na utafutaji wa gavana bora kabisa wa benki kuu ya Norway na ana uhakika kuwa ni Jens Stoltenberg.

Hii inamaanisha NATO inapaswa kuanza sasa kumtafuta haraka mrithi wa Stoltenberg kabla ya mkutano wa viongozi wa mataifa wanachama Juni mwaka huu.

logoblog

Thanks for reading Mkuu wa NATO Stoltenberg ateuliwa kuongoza Benki Kuu ya Norway






viuhapa

Viuhapa – habari tanzania kwa kiswahili

soma habari mbalimbali za tanzania na ulimwenguni kote kwa kiswahili hapa swahili Viu Hapa. Visit Swahili Viuhapa soma magazeti, habari za mastaa na udaku, umbea, mziki na hadithi za chombezo.

Viuhapa – Latest News and Gossip Leaks Celeb

The latest entertainment news and celeb leak staff worldwide can be found on Viu Hapa. Visit Viuhapa today for latest showbiz and celebrity.

Jobo escort – pata wadada wanaojiuza kutoka tanzania

Pata wadada wanaojiuza kutoka karibu yako hapa tanzania. wanatoa huduma zote. wapigie uongee nao..tembelea jobo escort tanzania. Malaya warembo wamejaa. Visit joboescort today for latest showbiz and celebrity.

vesgeta – Pata website kwa bei nafuu kwa ajili ya Kampuni au biashara yako.

Vesgeta Tech ni watengenezaji wa website / tovuti tanzania. wanatengeneza website kwa bei nafuu zaidi…. Visit vesgeta WATENGENEZA WEBSITE TANZANIA KWA BEI NAFUU.

https://www.swahili.viuhapa.com/mkuu-wa-nato-stoltenberg-ateuliwa-kuongoza-benki-kuu-ya-norway-swahili-viuhapa/
Post a Comment

Post a Comment